WAPENDWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, TAARIFA RASMI KUTOKA KWEYE UONGOZI WA CHUO ENDAPO KESHO ITAKUWA NI SIKUKUU YA EID -EL-FITRI MITIHANI AMBAYO ILIBIDI IFANYIKE KESHO HAITAFANYWA.
BADALA YAKE ITAFANYIKA SIKU YA JUMANNE MUDA ULEULE NA MADARASA YALEYALE
No comments:
Post a Comment