Serikali ya wanafunzi , inapenda kukutaarifu kupitia Wizara yake ya utawala bora kuwa, kila darasa litatakiwa kufanya uchaguzi wa wawakilishi wa darasa Class representatives (CR), Uchaguzi huu utafanyika tarehe 30/06/2015 , siku ya Jumanne katika siku husika viongozi waliopewa mamlaka watapita kusimamia uchaguzi huo ili uwe wa huru na haki .. Tunaomba ushirikiano wako.
"WE ARE SERVANTS OF YOUR VOICE"
Limetolewa na Wizara ya Utawala Bora
katika jambo hili mbona ,mpaka sasa hao CR mbona hawja chaguliwa au imekuwaje?
ReplyDeletenatamani sana kuwajua hao CRs maana natamani kufanya uongozi huu uwe wenye mafanikio.
ReplyDelete