Pages

Thursday, July 9, 2015

MBIONI KUFUNGUA MAINKAMPASI TV...

Baada ya kuweza kuendesha Blog ya Mainkampasi kwa uweledi wa hali ya juu, timu nzima ya Mainkampasi kwa pamoja tumeona vyema sasa baadhi ya matukio tunayo yalipoti kwako yakufikie kwa njia ya video.

Nihatua kubwa sana tunataka kupiga na tunaimani kuwa ushirikiano uliotoa kwetu kuanzia tulipokuwa na watazamaji 10 mpaka leo tumefikia 2100 kwa ushirikiano wako pia tutafikia lengo hili la kuwa na MAINKAMPASI TV.

Tunakaribisha mawazo, ushauri na maoni kwa namna gani tuweze kuboresha BLOG yetu na matangazo yetu ili yawafikie watu wengi zaidi ndani ya Tumaini na nje ya Tumaini.





Kati ya logo zitakazo tumika na Mainkampasi Tv

MAINKAMPASI TV.... KONA MPAKA KONA

5 comments:

  1. hatua hii ni kubwa sana ,,maamuzi kama hayo yatafanya taarifa zitufikie kwa haraka sana ,,,,,

    ReplyDelete
  2. jambo la msingi ni kuhakikisha taarifa za kilka kona zina tufikia kwa haraka na zikiwa zime hakikishwa ,,,,,iko powa sana ,,,,,

    ReplyDelete
  3. nadhani logo ya kwanza hiyo imekaa vizuri zaidi ,,nice plan good i dear,,,,,

    ReplyDelete
  4. jambo la msingi ni kuhakikisha taarifa za kilka kona zina tufikia kwa haraka na zikiwa zime hakikishwa ,,,,,iko powa sana ,,,,,

    ReplyDelete
  5. Asante sana Brother Meshack King kwa pongezi, tunapokea ushauri wako na tunafanyia kazi.

    ReplyDelete