TANGAZO
WAPENDWA
WANAFUNZI……
SERIKALI
YA WANAFUNZI INAPENDA KUTOA TAARIFA KUHUSIANA NA BASHI AMBAYO TULIPANGA
TUIFANYE TAREHE 18/ 07 /2015.
SERIKALI
YA WANAFUNZI INAPENDA KUWATAARIFU RASMI KUWA HIYO BASHI IMEAIRISHWA KUTOKANA NA
SABABU ZA MSINGI SANA KAMA IFUATAVYO;
1. KUTOKANA NA IDADI KUBWA YA
WANAFUNZI AMBAO WALIKUWA BADO HAWAJAMALIZIA KARO YAO YA CHUO SERIKALI YA
WANAFUNZI ILIAMUA KUWAKOPESHA FEDHA ZA KUKAMILISHA KARO YA CHUO ILI WAWEZE
KUFANYA MITIHANI. IDADI YA WALIKOPESHWA NI KUMI NA SITA KWA KIASI TOFAUTI TOFAUTI NA KUFANYA JUMLA KUU KUWA NI SHILINGI MILIONI
SITA NA ELFU SITINI TU (6,060,000/= TZS)
MKOPO HUO KWA WANAFUNZI ULIPEKELEA BAJETI YETU
KUPUNGUA NA TUSIWEZE KUENDELEA NA ZOEZI ZIMA LA KUANDAA BASHI.
2. TULIJITAHIDI KUWATAFUTA WADHAMINI MBALIMBALI
AMBAO NAO WANGEWEZESHA SHUGHUI KUFANYIKA, LAKINI KUTOKANA NA MUDA KUWA MFUPI
IKAWA NI NGUMU KUFANIKISHA.
3. SABABU NYINGINE NI KUCHELEWA
KUFANYIKA KWA UCHAGUZI WA VIONGOZI, ENDAPO UCHAGUZI UNGEFANYIKA MAPEMA
TUNGEWEZA KUKAMILISHA ZOEZI ZIMA.
NB: SERIKALI YA WANAFUNZI INAPENDA KUWAHAKIKISHIA
KUWA MARA TU BAADA YA KUFUNGUA CHUO
TUTAKUA NA BASHI MOJA KUBWA SANA (SO AMAAAAZING!!!!!), HIVYO WANAFUNZI MUWE
TAYARI KWA HILO NA ITAKUA MAPEMA WIKI ZA MWANZO ZA KUFUNGUA CHUO.
IMEANDALIWA
NA,
MAPUNDA
FLORID SEBASTIANI
(WAZIRI WA
HABARI NA MAWASILIANO)
No comments:
Post a Comment