kadiri ya siku zinavyozidi kwenda mbele ndipo idadi ya watangaza nia katika nafasi mbalimbali za uongozi hasa nafasi za ubunge na udiwani, ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu.
mpaka muda huu watangaza nia kutoka chuo cha Tumaini imefikia wanne ambao main kampasi imewafanya nao mahojiano,
siku ya kesho tutakua na mtangaza nia mwingine, je, unajua ni nani? anataka nafasi gani na ni wapi, usikae mbali na maini kampasi uitapata kujua yote unayotaka nakwa bahati nzuri maini kampasi inakupa kitu ambacho roho inapenda.
nadhani idadi ya wagombea imesh toka ,,,,,
ReplyDeletesina wasiwasi na walio pitishwa kwenye kamati ya maadili,,,,,,,
ReplyDeletesina wasiwasi na walio pitishwa kwenye kamati ya maadili,,,,,,,
ReplyDeletenadhani idadi ya wagombea imesh toka ,,,,,
ReplyDelete