Pages

Showing posts with label tangazo. Show all posts
Showing posts with label tangazo. Show all posts

Tuesday, November 24, 2015

TANGAZO



TURDACO, UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIANS FELLOWSHIP
MONDAY- FRIDAY 0730HRS MORNING DEVOTION ROOM301
EVENING SESSION SCHEDULE
DAY
SERVICE
TIME/ROOM
MONDAY
WORD OF GOD
1700-1800HRS     (ROOM301)                 
WEDNESDAY
WORD OF GOD & RELATIONSHIP SESSION
1700-1800 HRS    (ROOM301)                 
                                     
THURSDAY
PRAISE AND WORSHIP
REHEARSAL
1700-1800 HRS     (ROOM301)
FRIDAY
PRAISE AND WORSHIP
 1700-1800 HRS  (ROOM301)                                                               

TANGAZO

                                            

Kutakuwa na mkutano wa wanafunzi na wana TURDAco wote katika ukumbi wa Chuo Ghorofa ya 9 siku ya ijumaa Tarehe 27.

Kuanzia saa Kumi mpaka saa kumi na mbili jioni na hii ni kwa sababu ya kuwapa muda hata wale wanaosoma vipindi vya jioni kuhudhuria.

 Mtaarifu na mwenzanko amwambie mwenzake.
     
                      MAINKAMPASI TUTAKUWEPO KUKUPA UPDATE ZOTE.

Monday, November 23, 2015

KARIBU

Timu nzima ya main campus imerudi tena mara baada ya kimya cha mda mrefu, kimya hicho hakikua bure bali ni kwa malengo maalumu. hivyo karibu sana kwa habari nyingi na za uhakika.

Tuesday, July 28, 2015

TANGAZO KWA BHRM2

Mnatangaziwa kuwa  makaratasi ya field mtayapata kutoka kwa mwakilishi wa Darasa lenu Bony Baltazary Sakurani kwa kupitia Email Adress yake ambayo ni ssakurani@gmail.com

Namba ya simu: 0653077840

Thursday, July 16, 2015

TANGAZO RASMI

WAPENDWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, TAARIFA RASMI KUTOKA KWEYE UONGOZI WA CHUO ENDAPO KESHO ITAKUWA NI SIKUKUU YA EID -EL-FITRI MITIHANI AMBAYO ILIBIDI IFANYIKE KESHO HAITAFANYWA.
BADALA YAKE ITAFANYIKA  SIKU YA JUMANNE MUDA ULEULE NA MADARASA YALEYALE

KUAHIRISHWA KWA BASHI CHUO KIKUU TUMAINI



                               TANGAZO
WAPENDWA WANAFUNZI……
SERIKALI YA WANAFUNZI INAPENDA KUTOA TAARIFA KUHUSIANA NA BASHI AMBAYO TULIPANGA TUIFANYE TAREHE 18/ 07 /2015.
SERIKALI YA WANAFUNZI INAPENDA KUWATAARIFU RASMI KUWA HIYO BASHI IMEAIRISHWA KUTOKANA NA SABABU ZA MSINGI SANA KAMA IFUATAVYO;
1.  KUTOKANA NA IDADI KUBWA YA WANAFUNZI AMBAO WALIKUWA BADO HAWAJAMALIZIA KARO YAO YA CHUO SERIKALI YA WANAFUNZI ILIAMUA KUWAKOPESHA FEDHA ZA KUKAMILISHA KARO YA CHUO ILI WAWEZE KUFANYA MITIHANI. IDADI YA WALIKOPESHWA NI KUMI NA SITA KWA  KIASI TOFAUTI TOFAUTI  NA KUFANYA JUMLA KUU KUWA NI SHILINGI MILIONI SITA NA ELFU SITINI TU  (6,060,000/= TZS) MKOPO HUO KWA WANAFUNZI ULIPEKELEA BAJETI YETU  KUPUNGUA NA TUSIWEZE KUENDELEA NA ZOEZI ZIMA LA KUANDAA BASHI.
2.  TULIJITAHIDI KUWATAFUTA WADHAMINI MBALIMBALI AMBAO NAO WANGEWEZESHA SHUGHUI KUFANYIKA, LAKINI KUTOKANA NA MUDA KUWA MFUPI IKAWA NI NGUMU KUFANIKISHA.
3.  SABABU NYINGINE NI KUCHELEWA KUFANYIKA KWA UCHAGUZI WA VIONGOZI, ENDAPO UCHAGUZI UNGEFANYIKA MAPEMA TUNGEWEZA KUKAMILISHA ZOEZI ZIMA.
NB:    SERIKALI YA WANAFUNZI INAPENDA KUWAHAKIKISHIA KUWA  MARA TU BAADA YA KUFUNGUA CHUO TUTAKUA NA BASHI MOJA KUBWA SANA (SO AMAAAAZING!!!!!), HIVYO WANAFUNZI MUWE TAYARI KWA HILO NA ITAKUA MAPEMA WIKI ZA MWANZO ZA KUFUNGUA CHUO.
IMEANDALIWA NA,

            MAPUNDA FLORID SEBASTIANI
   (WAZIRI WA HABARI NA MAWASILIANO)

MATOKEO KIDATO CHA SITA OUT.

Baraza la mihani la Taifa NECTA limetangaz matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika mwaka jana,

Kupata matokeo zaidi Bofya link hapa chini itakayo kupeleka moja kwa moja kwenye matokeo

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

Sunday, July 12, 2015

TANGAZO

 MAINKAMPASI  IS THE OFFICIAL MEDIA PARTNER IN THIS EVENT

Thursday, July 9, 2015

IDADI YA WATANGAZA NIA INAONGEZEKA

kadiri ya siku zinavyozidi kwenda mbele ndipo idadi ya watangaza nia katika nafasi mbalimbali za uongozi hasa nafasi za ubunge na udiwani, ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu.
mpaka muda huu watangaza nia kutoka chuo cha Tumaini imefikia wanne ambao main kampasi imewafanya nao mahojiano,
siku ya kesho tutakua na mtangaza nia mwingine, je, unajua ni nani? anataka nafasi gani na ni wapi, usikae mbali na maini kampasi uitapata kujua yote unayotaka nakwa bahati nzuri maini kampasi inakupa kitu ambacho roho inapenda.

MBIONI KUFUNGUA MAINKAMPASI TV...

Baada ya kuweza kuendesha Blog ya Mainkampasi kwa uweledi wa hali ya juu, timu nzima ya Mainkampasi kwa pamoja tumeona vyema sasa baadhi ya matukio tunayo yalipoti kwako yakufikie kwa njia ya video.

Nihatua kubwa sana tunataka kupiga na tunaimani kuwa ushirikiano uliotoa kwetu kuanzia tulipokuwa na watazamaji 10 mpaka leo tumefikia 2100 kwa ushirikiano wako pia tutafikia lengo hili la kuwa na MAINKAMPASI TV.

Tunakaribisha mawazo, ushauri na maoni kwa namna gani tuweze kuboresha BLOG yetu na matangazo yetu ili yawafikie watu wengi zaidi ndani ya Tumaini na nje ya Tumaini.





Kati ya logo zitakazo tumika na Mainkampasi Tv

MAINKAMPASI TV.... KONA MPAKA KONA

TANGAZO KUTOKA TIGO KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU

KWA MWANAFUNZI YEYOTE MBAYE ANATUMIA MTANDAO WA TIGO NA ANAHITAJI KUPATA HUDUMA ZA TIGO ZA CHUO NA MPAKA SAIZI HAJAJIANDIKISHA TAFADHALI SANA KESHO SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 10/07/2015 NI SIKU YA MWISHO.
NAOMBA WAAMBIE NA  WENZIO AMBAO BADO HAWAJAJIANDIKISHA.

 TUWASILIANE KESHO KUANZIZA SAA 6 KAMILI MCHANA KWA NAMBA 0713 27 55 08

TANGAZO! TANGAZO!


Wednesday, July 8, 2015

TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!

                                                TANGAZO TOKA NIDA.

FIKA CHUONI (TURDACo) TAREHE 9/7/2015 KUCHUKUA KITAMBULISHO CHAKO CHA TAIFA KUANZIA SAA TATU KAMILI ASUBUHI MPAKA KUMI KAMILI JIONI.

TANGAZO! TANGAZO!

                                        KUPOTEA KWA WALLET

GLADNESS STANLEY AMEPOTELEWA NA WALLET MAENEO YA CHUO AMBAYO ILIKUWA NA VITAMBULISHO VYA CHUO NA LESENI YA UDEREVA KAMA UMEVIONA MAHALI POPOTE  TUNAOMBA UWASILIANE NA  NAMBA ZIFUATAZO.

 0717961245 AU 0757598045 ASANTE.

Monday, July 6, 2015

MCHUNGAJI JOHN KOMANYA AFARIKI DUNIA

Mchungaji na Mwimbaji wa nyimbo za Injili Nchini Mch, John Komanya alieimba wimbo wa 'Zawadi gani nitamtolea Bwana wangu" Amefariki Dunia Alfajili ya Leo katika Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam.

Taarifa zinasema Marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Kisukari na Typhoid, Mch, John Komanya amefariki alfajili ya saa kumi katika Hospitali ya Hindu mandal.

Marehemu ameacha mke na watoto wa Tatu.  

 Mch, John Komanya Enzi za Uhai wake

Mch, John Komanya Enzi za uhai wake
Taarifa hii ni kwa msaada wa mtandao wa Gospel kitaa kwa habari zaidi bofya Link hapa chini

HABARI ZAIDI

Sunday, July 5, 2015

LINK RAHISI KUPAKUA NAMBA YA MTIHANI


Ili usisumbuke kupakua namba yako ya mtihani tumekuwekea link rahisi kwako kufika na kupakua namba yako.

Bofya Link hapa chini na fuata maelekezo. Kama kutakuwa na shida ya kupakua namba yako wasiliana na ofisi ya Admission au Uhasibu kwa maelekezo zaidi.

LINK YA KUPAKUA NAMBA YA MTIHANI


HUDUMA MPYA KUTOKA TIGO



                                                       TANGAZO
SERIKALI YA WANAFUNZI KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAWASILIANO YA SIMU YA MKONONI YA TIGO INAPENDA KUKULETEA HUDUMA MOTOMOTO NA NZURI.

HUDUMA YA KUWASILIANA NA WAPENDWA WAKO WA CHUO KIMOJA POPOTE PALE ULIPO HASA UKIWA WAKATI WA LIKIZO WAKATI WA FIELD ATTACHMENT NA HATA WAKATI WA KAZI, TIGO ITAKUA NAWE.

HUDUMA HII UTAIPATA KWA FEDHA TASLIMU YA KITANZANIA SHILINGI ELFU MBILI TU (2,000/=). UTAPATA DAKIKA BILA KIKOMO KWA MUDA WA MWEZI MZIMA.

PAMOJA NA HUDUMA NZURI KAMA HII PIA KUTAKUWA HUDUMA YA KIFURUSHI CHA CHUO (UNIVERSITY OFFER) KWA KUJIUNGA MAHALI POPOTE UTAKAPOKUWA BILA KUJALI UPO ENEO LA CHUO.

KUTOKANA NA UZURI WA HUDUMA HII, SERIKALI YA WANAFUNZI INAKUOMBA KUJIANDIKISHA JINA LAKO MAPEMA IWEZEKANAVYO KUANZIA JUMATATU HII YA TAREHE 06/07/2015 MPAKA SIKU YA IJUMAA 10/07/2015 SAA 11 KAMILI JIONI KWA KIONGOZI WA DARASA.

KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA MAWAKALA:
1.     JUMANNE MUYONGA  - 0713 275 508
2.     AMIDU MWAMLIMA    - 0713 372 138


Friday, July 3, 2015

NEVER GIVE IN NEVER GIVE UP

Muda wa majeruhi watu Course work hazisomi MAINKAMPASI tunajua maumivu yako la muhimu na msingi ni usikate tamaa kabisa Maisha lazima yaendelee na huu sio mwisho wa Elimu Pambana mchawi wa Course Work in University Examinations  NEVER GIVE IN NEVER GIVE UP.






Wednesday, July 1, 2015

TANGAZO MAALUM


WANAFUNZI WOTE WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI DAR ES SALAAM KESHO MFIKE NA VITAMBULISHO VYENU VYA CHUO ILI  MUWEZE KUANDIKISHWA NA HUDUMA ITAKAYOKUWEZESHA KUPATA HUDUMA YA VIFURUSHI VYA TIGO VYA  WIKI VITAKAVYOPATIKANA NA KUWEZA KUJIUNGA HATA KIPINDI CHA LIKIZO.

TAFADHALI USIKOSE HUDUMA HII, UKIPATA TAARIFA MFAHAMISHE NA MWENZIO.


             USIKOSE!! USIKOSE!! USIKOSE!! USIKOSE!! USIKOSE!! USIKOSE!!

Tuesday, June 30, 2015

TAARIFA KWA UMMA

                                                    TAARIFA KWA UMMA
 OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2015. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana  31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya wanafunzi waliochaguliwa  29,744 wakiwemo wasichana 11,450 na wavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya  Sayansi  na Hisabati; na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 na wavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomo ya  Sanaa na Biashara.
  
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2015 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa na fursa ya mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
 
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2015 inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI ya  www.pmoralg.go.tz  
Imetolewa na Katibu Mkuu,
   
     

    BOFYA HAPA KUPAKUA MAJINA
 
                                                                  OWM-TAMISEMI