WANAFUNZI WOTE WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI DAR ES SALAAM KESHO MFIKE NA VITAMBULISHO VYENU VYA CHUO ILI MUWEZE KUANDIKISHWA NA HUDUMA ITAKAYOKUWEZESHA KUPATA HUDUMA YA VIFURUSHI VYA TIGO VYA WIKI VITAKAVYOPATIKANA NA KUWEZA KUJIUNGA HATA KIPINDI CHA LIKIZO.
TAFADHALI USIKOSE HUDUMA HII, UKIPATA TAARIFA MFAHAMISHE NA MWENZIO.
USIKOSE!! USIKOSE!! USIKOSE!! USIKOSE!! USIKOSE!! USIKOSE!!
No comments:
Post a Comment