Pages

Sunday, July 5, 2015

HUDUMA MPYA KUTOKA TIGO



                                                       TANGAZO
SERIKALI YA WANAFUNZI KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAWASILIANO YA SIMU YA MKONONI YA TIGO INAPENDA KUKULETEA HUDUMA MOTOMOTO NA NZURI.

HUDUMA YA KUWASILIANA NA WAPENDWA WAKO WA CHUO KIMOJA POPOTE PALE ULIPO HASA UKIWA WAKATI WA LIKIZO WAKATI WA FIELD ATTACHMENT NA HATA WAKATI WA KAZI, TIGO ITAKUA NAWE.

HUDUMA HII UTAIPATA KWA FEDHA TASLIMU YA KITANZANIA SHILINGI ELFU MBILI TU (2,000/=). UTAPATA DAKIKA BILA KIKOMO KWA MUDA WA MWEZI MZIMA.

PAMOJA NA HUDUMA NZURI KAMA HII PIA KUTAKUWA HUDUMA YA KIFURUSHI CHA CHUO (UNIVERSITY OFFER) KWA KUJIUNGA MAHALI POPOTE UTAKAPOKUWA BILA KUJALI UPO ENEO LA CHUO.

KUTOKANA NA UZURI WA HUDUMA HII, SERIKALI YA WANAFUNZI INAKUOMBA KUJIANDIKISHA JINA LAKO MAPEMA IWEZEKANAVYO KUANZIA JUMATATU HII YA TAREHE 06/07/2015 MPAKA SIKU YA IJUMAA 10/07/2015 SAA 11 KAMILI JIONI KWA KIONGOZI WA DARASA.

KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA MAWAKALA:
1.     JUMANNE MUYONGA  - 0713 275 508
2.     AMIDU MWAMLIMA    - 0713 372 138


No comments:

Post a Comment