Pages

Monday, July 6, 2015

MCHUNGAJI JOHN KOMANYA AFARIKI DUNIA

Mchungaji na Mwimbaji wa nyimbo za Injili Nchini Mch, John Komanya alieimba wimbo wa 'Zawadi gani nitamtolea Bwana wangu" Amefariki Dunia Alfajili ya Leo katika Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam.

Taarifa zinasema Marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Kisukari na Typhoid, Mch, John Komanya amefariki alfajili ya saa kumi katika Hospitali ya Hindu mandal.

Marehemu ameacha mke na watoto wa Tatu.  

 Mch, John Komanya Enzi za Uhai wake

Mch, John Komanya Enzi za uhai wake
Taarifa hii ni kwa msaada wa mtandao wa Gospel kitaa kwa habari zaidi bofya Link hapa chini

HABARI ZAIDI

No comments:

Post a Comment