PICHA ZA RAIS JOHN MAGUFULI AKIPEWA CHETI CHA USHINDI NA WAKATI AKIHUTUBIA MAKAO MAKUU YA CCM
Rais mteule John Pombe Joseph Magufuli alitangazwa mshindi na NEC kwa kupata 58% ya kura zote zilizopigwa dhidi ya mpinzani wake mkuu Edward Lowassa aliyeambulia 39%.
No comments:
Post a Comment