Pages

Monday, June 22, 2015

WIZI SASA BASI

Kutokana na wizi wa simu ambao uliwahi kutokea mapema mwezi jana katika kipindi cha mitihani imegundulika kuwa Camera zilizo fungwa hazikuwa na uwezo wa kuonyesha mbali na hivyo imelazimika kwa camera hizo kurekebishwa na kuwekwa zenye ubora zaidi ili kuzuia wizi wa mali na pia kusaidia kipindi cha mitihani kwa wasimamizi.

Akizungumza na Blog hii mratibu wa Jengo amesema tayari camera zinarekebishwa ili kuleta matokeo bora zaidi katika siku za usoni.
MOJA YA CAMERA KATIKA CHUMBA CHA MASOMO



No comments:

Post a Comment