Mmoja ya watumiaji wa jengo hilo ameongea na mwandishi wa Blog hii na kumwambia kuwa kutokana na hitilafu ya lift ameshindwa kufika darasani kwa wakati na kusababisha kukosa baadhi ya masomo.
Kwaupande wa mratibu wa Jengo hilo ambae hakufaamika jina lake kwa haraka amesema tatizo linashugulikiwa na litatatuliwa mapema iwezekanavyo na waandisi wa mitambo hiyo.
LIFT ZIKIWA HAZIFANYI KAZI |
No comments:
Post a Comment