Pesa ya China YUAN |
Benki kuu ya
China imepunguza tena Bei elekezi kwa Fedha ya taifa hilo baada ya sarafu ya
nchi hiyo kushuka tena thamani kwa mara
pili mfululizo ndani ya wiki hii.
Mpango wa
kupandisha sarafu ya Nchi hiyo umeanza kwa masoko ya Asia na Benki kuu ya
Nchina ina imani kuwa thamani ya sarafu yao itazidi kuimarika wizara ya
Biashara ya China inasema ili kukuza thamani ya sarafu yao lazima mauzo ya nje
yaimarike.
Takwimu
zinaonyesha mauzo ya China nje ya nchi yalianguka kwa asilimia 8 na hivyo
kuweka kiashirio cha kuporomoka kwa uchumi wa Nchi hiyo.
Hii ni kwa
mara ya kwanza kwa sarafu ya China Yean kushuka thamani dhidi ya Dola ya
Marekani kwa miongo miwili sasa.
No comments:
Post a Comment