Ofisi ya Mhasibu wa Chuo imetoa Tangazo kuwa tayari namba za mitihani zinaweza kupatikana kupitia Account za wanafunzi TUSARIS.
Zingatia
namba itapatikana kama utakuwa umemaliza kulipa ada yako na malipo ya
TCU pamoja na fedha ya serikali ya wanafunzi kama alivyo elekeza mhasibu
katika moja ya habari tulizo zichapisha kupitia blogu hii.
"Ada ya mwaka wa kwanza ni Tshs 2,405,000, mwaka wa pili Tshs 2,330,000
na mwaka wa tatu Tshs 2,365,000. Pamoja na ada wanafunzi wote wanatakiwa
wawe wamelipa hela ya TCU Tshs 20,000 na TUSO Tshs 25,000"
No comments:
Post a Comment