Leo ni siku ya wa Baba Duniani, siku hii haina historia maalum ilianzia wapi lakini inaaminika ilianzia nchini Marekani.
Binti mmoja alianzisha vuguvugu la wa Baba Duniani baada ya baba yake kumlea bila mama yake ambae alifariki akiwa na miaka 16, baba yake alimlelea yeye na wadogo zake wengine watatu kwa upendo na umakini wahali yajuu.
Baada ya kuona upendo huo aliamua kuthamini siku ya wa Baba Duniani ambapo alipata support ya kikundi cha viajan Nchini Marekani YCMA na kwa mara ya kwanza waliadhimisha june 1.
Siku hii inaadhimishwa kwqa namna nyingi duniani na kwa hapa kwetu Tanzania wengi hu post picha za Baba zao kwenye mitandao ya kijamii na kuwatakia maisha marefu.
No comments:
Post a Comment