Wakati wanachuo wa chuo cha Tumaini Dar es salaam(TUDARCO),wakiendelea kujii-enjoy kwa kubembea kwenye lift a.k.a elevator za mjengo wao huo mpya.JICHO LA BUNDI
limewafuma baadhi ya wanachuo hao wakipigana vikumbo ndani ya lift hizo,mithili ya abiria wa mbagala wakiwa wanapambana kuunyaka usafiri,kilichomshangaza BUNDI huyo ni kwamba
wasomi hao walikuwa wakioneshana ubabe kila mmoja akiwa na madhumuni ya kutokelezea(Kuappear) kwenye ''selfie" iliyokuwa ikitunguliwa na kijana mmoja aliyeonekana kuwashika wenzie zaidi ya zile lecture za pombe zinavyowabamba walevi.
Mwishowe bundi anapenda kuwatakia wasomi hao maandalizi mema dhidi ya mitihani yao ya kumaliza mwaka wa masomo.Nakuwapa ushauri wasome kwa bidii ikiwezekana hata kupanda juu ya dari na kujifungia wakipiga msuli.
KUMBUKA BAADA YA MSIBA NI UBARIKIO |
No comments:
Post a Comment