Wanafunzi
wa chuo kikuu cha Tumaini wameulalamikia uongozi wa mgahawa wa chuo
(Canteen) kwa kuandaaa chakula
kisichokua sawa
Mmoja
wa wanafunzi ambaae ni Rosemary Ndonde aliongea na mwandishi wa blogi hii
alisema, “chakula cha leo kimekuakidogo
na dosari tofauti na siku nyingine hasa kwa upande wa maharage, kwani yamekua
na ladha ambayo si zuri sana, kwani yapo
kama yameunngua.”
Hata
hivyo, msemaji wa mgahawa huo ambae hakutaka jina lake litajwe amesema chakula
kipo vizuri kwani kabla ya chakula kuanza kuuzwa huwa nakikagua na kama kina
dosari huwa nawaambia.”
Hata
hivyo msemaji huyo aliongeza kuwa watakua wanajitahidi kila siku kuhakikisha
chakula kinakua kizuri kama hapo awali na kila mmoja atafurahia na kuridhika na
huduma anayopata.
chakuala ambacho mmoja wa wateja ameshindwa kula |
No comments:
Post a Comment