Kila ijumaa jioni USCF wana fanya ibada ya kusifu na kuabudu (CHAPEL) na ijumaa hii ilikua ni siku maalum kwa ajili ya kuanza maombi ya kumsihi Mungu kuonekana katika maandalizi ya Mahafali itakayo fanyika Jumamosi ya tarehe 27 chuoni kuanzia saa 3 asubuhi na kuendelea.
Kila wanafunzi mkristu anakaribiswa kuudhuria kwenye mahafali hayo yatakayo fanyika Jumamosi kwa chango wa elfu 10000/ na kwa wale wahitimu watachangia elfu 15000/
No comments:
Post a Comment