KAZI ZA AFISA RASILMALI WATU
Kuna kazi nyingi sana zinaweza kupatikana katika Shahada ya Rasilimali watu MAINKAMPASI tumeweka baadhi ya kazi ambazo kama unasoma shahada ya Rasilimali watu basi utafaidika na hizi kazi pindi utakapo maliza shahada yako.
Pia tutajitahidi kuwapata wataaalam zaidi katika fani hii ili kutoa mwanga kwako kijana unaesoma shahada hii ili upanuke kimawazo na kimtazamo.
>Nonprofit Human Resources Expert
>HR Consultant
>International Human Resources Professional
>Human Resources Executive (Chief HR Officer or Vice President of Human Resources)
>Training & Development Manager
>Employee Education Consultant
>HR Entrepreneur
>Executive Recruiter
>Human Resources IT Specialist
No comments:
Post a Comment