Kiungo wa klabu ya Manchester United kutoka Ujerumani, Bastian Schweinstweiger amepanga kuchukua hatua za kisheria kufuatia kufananishwa na mdoli ambaye ametengenezwa kama askari wa vita kuu ya pili ya dunia.
Schweini alikosoa mdoli huyo sio tu kwa kufanana sura bali hadi jina, mdoli huyo amepewa jina la Bastian.
No comments:
Post a Comment