CR7 alisema amefurahia jambo hilo kwa kuwa ilikua ni ndoto yake toka utoto na hiyo itaacha alama kwa mashabiki wake siku zote hata baada ya maisha ya soka baadae.
"Nataka mashabiki wote na wapenzi wa Ronaldo wawe angalau na kitu kimoja kitakachowaweka karibu nami" alisema siku ya uzinduzi wa marashi hay huku picha zake mwenyewe zikitumika kwenye matangazo ya bidhaa hizo.
No comments:
Post a Comment