Pages

Monday, August 31, 2015

TETESI ZA DIRISHA LA USAJILI ULAYA

Javier Hernandez wa Man United yuko mbioni kujinuga na Bayer Leverkusen

Adnan Januzaj aenda Borrusia Dprtmund kwa mkopo wa mwaka mmoja.
AS Roma yamsainisha kiungo  Vanquer kutoka Dinamo Moscow
Julian Draxler kasajiliwa Wolfsburg kutokea Schalke 04
Manchester United na Real Madrid yafikia maelewano juu ya bei ya David de Gea
Anthony Martial yuko Carrington jijini Manchester kukamilisha usajili wake kutokea AS Monaco ya Ufaransa.
Fabio Borini asaini miaka minne Sunderland kutokea Liverpool
Kelvin de Bruyne miaka sita Etihad kutokea Wolfsburg.
Javier Hernandez yuko mbioni kujiunga na klabu ya Bayer Leverkusen kutokea Man United
Dirisha la Usajili la Germany limeshafungwa rasmi leo.

No comments:

Post a Comment