Rais wa serikali ya wanafunzi Rashid Khalifa Said ameanza
kazi yake rasmi juma hii mara tu baada ya kuapishwa na kuwa tayari kutumikia
wanafunzi ambao wamemuamini na kumchagua.
Katika utekelezaji wamajukumu yake ameteua baraza la mawaziri
ambao watakua nae sambamba katika kuhakikisha wanafunzi wanapata kile kitu
ambacho walikuwa wakikisubiri kwa mda mrefu.
Rais na makamu
wake bwana Steven Mjema wameteua baraza la mawaziri kama ifuatavyo;
01. Waziri Mkuu
Mh.
Luhunga Ayubu
02. Katibu Mkuu
Mh. Salama
Mohamed
03. Waziri wa Mambo ya ndani Mh. Kaijage Tobaro
04. Waziri wa Habari na Mawasiliano Mh. Mapunda
Florid
05. Waziri wa utawala bora Mh. Jumanne Paul
06. Waziri wa Fedha Mh. Ali herbet
07. Naibu waziri wa fedha Mh
Itanisa Asela
08. Waziri wa sheria na katiba Mh. Terasis Fred
09. Waziri wa ustawi wa Jamii Mh Boni Balthazar Sakurani
10. Waziri wa elimu Mh Johana Jane
11. Waziri wa Mikopo Mh. George Seleman
12. Waziri wa mambo ya nje Mh. John
Chuwa
13. Waziri wa Afya Mh. Selkita Mshana
13. Waziri wa Afya Mh. Selkita Mshana
Hao ndio Mawaziri ambao amekwisha anza nao kazi na muda si
mrefu atateua manaibu waziri ili kuweza kusaidiana na mawaziri husika. Serikali
hii itadumu kwa muda wa mwaka mmoja mpaka mwakani mwezi kama huu kadiri ya
katiba ya serikali ya wanafunzi inavyo elekeza.
Raisi Rashid Khalifa ( mwenye suti) akiwa na baadhi ya mawaziri |
Jifunzen kuandk story, msipokuw makin mtajidhallsh wenyew, niwap ushaur w bur tu, km kwel mko serious, mngekuw n mhariri wa kuzptia stories zen kabl y kuzipublis, mnajishsh guys, hz ata asie chuo kikuu anawz kuziandk...
ReplyDelete