Pages

Monday, July 6, 2015

BEST WISHEZ

Safari ya kufikia hapa tulipo imekua ngumu kwa baadhi yetu na wengine imekuwa ya neema sana, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa yoyote aliyo tutendea, kwa neema zake hata UE tumefika salama.
 Kwa niaba ya Team nzima ya MAINKAMPASI kona mpaka kona, Tunawatakia kila lakheri katika mitihani yenu wote.

 GOD BLESS US ALL.

POST POWERED BY FRANCIS D PHILLIPO

No comments:

Post a Comment