Pages

Friday, July 3, 2015

MAWAKILI WAPYA 412

Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande leo amewatunuku mawakili wapya 412 katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya KARIMJEE Jijini Dar es salaam, Mpaka sasa idadi ya mawakili Tanzania inafikia takribani Elfu nne.

Changamoto kwako mwanafunzi wa Sheria kupambana kufika Law School of Tanzania.







Jaji mkuu Othman Ramadhani akiwa na baadhi ya majaji katika Hafla ya kuwatunuku mawakili wapya( picha kwa hisani ya mtandao wa Tanzania Today)  

 Habari hii kwa msaada wa mtandao wa Tanzania Today. Bofya hapa chini kwa Habari zaidi na picha kutoka Tanzania Today.

HABARI ZAIDI NA PICHA  

No comments:

Post a Comment