Pages

Saturday, June 20, 2015

MAZINGIRA MAGUMU KWA WATOTO

Kumekuwa na ongezeko la watot wanaoishi katika mazingira magumu katika jiji la Dar es salaam na hali hiyo inapelekea kwa watoto hao kukosa haki zao za msingi ikiwemo Elimu.

Akizungumza na mwandishi wa Blogu hii mapema leo moja ya watoto hao amesema hali hiyo inatokana na matatizo ya familia na hivyo kukosa muelekeo na kujikuta wakiwa Barabarani wakiomba msaada walau wapate kula.

MAINKAMPASI inatoa wito kwa watu wote kutoa mmsaada wa hali na mali endapo watakutana na watoto wa nao ishi katika Mazingira magumu.

Baadhi ya watoto wanaoishi katika Mazingira magumu

No comments:

Post a Comment