Pages

Thursday, June 18, 2015

MAKTABA YA MCT IMEFUNGULIWA.

Wanafunzi wa meshauriwa kujitokeza kwa wingi katika maktaba ya Baraza la Habari Tanzania ili kujisomea,
Hayo yameelezwa na msaidizi wa progamu wa baraza hilo Bw Tumbi Kiganja katika mahojiano na Blogi hii mapema leo jioni, aidha amehimiza kwa wanafunzi kujituma zaidi katika kufikili chanya ili kuleta mabadiliko katika jamii.

Akizungumzia mswada wa habari Kiganja amesema wadau wote kwa ujumla tuna nafasi ya kupambana na miswada yote ambayo inalenga katika kukandamiza uhuru wa habari Tanzania.

Maktaba ya Baraza la Habari Tanzania ipo katika jengo la Josam House Barabara ya Cocacola na ufunguliwa kila jumatatu- ijumaa saa tatu asubuhi mpaka saa kumi kamili jioni.


Bw Tumbi Kiganja

No comments:

Post a Comment