Pages

Sunday, August 16, 2015

REKODI ZA EPL JUMAPILI YA LEO 16 AUGUST 2015

Jose Mourinho akiangalia team yake wakati ikiadhibiwa na Manchester City leo jioni
John Terry kwa mara ya kwanza chini ya Mourinho kakaa benchi dhidi ya Man City walipolala 3-0
John Terry amekua subbed leo kwa mara ya 17 tu toka aanze kucheza mpira.
Mesut Ozil amepoteza pasi 1 tu kati ya 55 alizopiga vs Crystal Palace leo mchana.
Olivier Giroud amefunga mara 3 katika uwanja wa Crystal Palace, Selhurst Park
Manchester City wameshinda mechi 8 mfululizo za Premier League,
Mechi tatu zilizopita kati ya Crystal Palace vs Arsenal zzimeisha kwa 2-1 huku Arsenal wakishinda zote.
Arsenal wan cleaan sheet moja tu kwenye mechi zao za ugenini.
Hii ni mara ya kwanza Chelsea chini ya Mourinho kuruhusu zaidi ya goli moja dhidi ya timu za Manchester (City au United).
Tangu msimu wa 2011-12 Sergio Aguero amefunga magoli mengi kuliko mchezaji yeyote England (79)
Hii ni mara ya kwanza kwa Bingwa mtetezi kukosa ushindi katika mechi mbili za mwanzo wa ligi baada ya Manchester United kufanya hivyo 2007-08.
Mourinho amepoteza michezo 10 katika michezo 78 kama kocha wa Chelsea kwa mara ya pili, mara ya kwanza alipoteza michezo 10 katika mechi 120.
Kwa miaka mitatu mfululizo Arsenal wanapata goli la kwanza la ligi kuu kupitia kwa Mfaransa.
Chelsea walisubiri hadi dakika ya 70 ili wapate shot on target ya kwanza vs City leo.
Hii ni mara ya tatu kwa Mourinho kufungwa vipigo vikubwa baada ya Middlesbrough kuipiga Chelsea 3-0 mwaka 2005-06 na West Brom 3-0 mwaka 2014-15.
SOURCE; Opta Stats





No comments:

Post a Comment