SWALI
Swali kuhusu ofisi ya Admission na Uhasibu.
Malalamiko ya ufanisi wa ofisi hizi unaelezewa na mwanafunzi
kutoka Mwaka wa tatu Education.
Swali :Chuo kimekosa sehemu ya kujisomea wanafunzi wanapata
usumbufu mahali pa kusomea
Swali linaulizwa na JUMA mwanafunzi wa Kitivo
cha Ualimu mwaka wa tatu.Makamu wa Chuo Taaluma anajibu swali ya kwanza kwa kuomba kama kuna mtu anamalalamiko yeyote kuhusu huduma za uhasibu na ADMISSION aya wasilishe kwake ili hatua zichukuliwe .
Kuhusu mahali paku jisomeaMakamu mkuu wa Chuo Taaluma anasema Chuo kinashughulikia swala hili.
No comments:
Post a Comment