Baada ya Mkuu wa Chuo kuzungumza na wanafunzi sasa Rais wa Serikali ya wanafunzi anatoa matangazo na kuomba wanafunzi wasimame kwa ajili ya kumbukumbu ya Kifo cha mwanafunzi mwenzetu aliefariki wiki moja iliyopita kwa maradhi ya uti wa mgongo, Ernest aliekuwa anasoma kitivo cha sheria mwaka wa tatu.
No comments:
Post a Comment