Pages

Sunday, September 13, 2015

MOURINHO MAJANGA TENA, RONALDO AVUNJA REKODI, NA REKODI ZA JUMAMOSI HII KWENYE LIGI ZA ULAYA


Shuti la kwanza kulenga goli la Anthony Martial lilizaa goli lake la kwanza kwenye Premier League vs Liverpool.
Ronaldo amekua mchezaji wa kwanza kufika goli 230 haraka zaidi, mechi 203 tu.
Ronaldo sasa ni mfungaji anaongoza kwa magoli La Liga kwa Real Madrid (230) akifuatiwa na Raul (228)
Mra ya kwanza kwa Mourinho kupoteza mechi mbili mfululizo toka 2006.
Kwa mara ya kwanza Borussia Dortmund wameshinda mechi 9 mfululizo.
Mesut Ozil ametengeneza nafasi nyingi za magoli zaidi ya mwingine, 76.
Manchester City wamepata clean sheets 6 mfululizo kwa mara ya kwanza, wameungana na Man United, Portsmouith na Chelsea.
Sasa Manchester City wako mbele ya Chelsea kwa pointi 11.
Daavid de Gea ameshindwa kupata clean sheet katika mechi 8 zilizopita alizocheza kwa dakika zote 90.
Ronaldo anakua mchezaji wa kwanza kufunga goli 5 kwenye mechi moja, akifanya hivyo leo kwa mara ya kwanza ugenini.
Pierre Emerick Aubemayang ameebakiza goli moja ili afikishe magoli 6 katika mechi 6 mfululizo, nyuma ya Lewandowski 2013 kwa Dortmund.
Bayern walipiga pasi mara 4 ya wapinzani wao leo (Augssburg) na walihitaji mashuti 23 kabla ya kupata goli la kwanza.
Bentelke amefunga mara 3 katika mikutano 3 dhidi ya Manchester United lakini ameshindwa kushinda wowote kati ya hiyo, Draw 2, Kupoteza 1.
Man City sasa wameshinda mechi 11 mfululizo za EPL, ni Arsenal (12) na Manchester United (14) wenye mfululizo wa ushindi mrefu kwenye ligi hiyo.
Mara ya mwisho Chelsea kuwa na mwanzo mbaya ni mwaka 1986-87, walimaliza ligi katika nafasi ya 14.
Manchester United wamefunga magoli yote matatu kutoka kwenye mashuti yote yaliyolenga goli.
Steven Naissmith ni mchezaji wa tatu kufunga Hat trick akitokea benchi baada ya Romelo Lukaku na Robin van Persie.
Mechi 4, magoli 15, Dortmund wameweka rekodi mpya Bundesliga.


No comments:

Post a Comment