Arsenal imepata pigo baada yakiungo wake Jack Wilshere kuumia kabla hajapona majeraha yake kikamilifu. Wilshere atakua nje ya uwanja kwa muda ambao haujatajwa na madaktari wa Arsenal wakati timu yake ikikutana na Stoke City weekend hii.
Wilshere ambaye majeraha yalifanya aanze mechi 14 tu za ligi kuu msimu uliopita, ameongeza wasiwasi kwa kocha wake Arsene Wenger ambaye pia anamkosa mshambuliaji Danny Welbeck ambaye amepasuliwa tokea May mwaka huu.
Wenger ameongeza pia kuwa hakuna mchezaji wake yeyote aliyeumia katika majukumu ya kimataifa kwa wiki iliopita huku akisisitiza uwepo wa Per Mertseker na Kolscieny
No comments:
Post a Comment