Pages

Saturday, August 8, 2015

MANCHESTER UNITED KUFUNGUA ENGLISH PREMIER LEAGUE VS TOTTENHAM











Pazia la ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays litafunguliwa leo mchana katika dimba la Old Trafod ambapo wenyeji Mashetani wekundu watakua na kazi nzito dhidi ya Tottenham Hotspurs. Mechi hiyo itakua saa 8;45 mchana na kufuatiwa na mechi kadhaa baadae jioni.
Ratiba ya ufunguzi iko kama ifuatavyo;
Bournemouth vs Aston Villa 11;00 jioni
Everton vs Watford 11;00 jioni
Leicester vs Sunderland 11;00 jioni
Norwich City vs Crustal Palace 11;00 jioni
Chelsea vs Swansea saa 01;30 usiku

No comments:

Post a Comment