Pages

Sunday, July 19, 2015

KUTOKA UTANGAZAJI WA HABARI MPAKA SIASA



Godwin Gondwe mtangazaji wa kituo kimojawapo cha runinga hapa nchini
Bwana Godwin Gondwe, mtangazaji maarufu sana hapa nchini, amekua katika vyombo tofauti tofauti vya habari, na sasa ameingia katika uwanja wa siasa na yuko tayari kuchukua jimbo mojawapo ili aweze kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo.

Je, unajua ni jimbo gani? na kupitia chama gani? Ukitaka kujua majibu ya hayo yote tafadhali fuatilia www.mainkampasi.blogspot.com itakupa kila kitu.

Mainikampasi itakupa taarifa zote za wahadhili na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini ambao wametia nia na ambao wamekwisha chukua fomu na kuendelea na  mchakato mzima wa kura za maoni mpaka kinyang’anyiro cha jimbo husika.






1 comment:

  1. Nadhani kwa sasa suala la uongozi kwa vijana limeeweka ,,,kila la kheri kila mwenye nia ya uongozi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete