Danford Kitwana |
Danford Kitwana ni mhadili wa Chuo kikuu Kishiriki cha
Tumaini Tawi la Dar es Salaam, na ametumikia kazi yake hii ndani ya miaka
kadhaa katika kitivo cha sanaa na sayansi ya jamii, idara ya mawasiliano kwa Umma na sasa ameamua
kugeukia siasa na yupo tayari kuwatumikia watu wa jimbo flani ndani ya mkoa
flani.
Je unataka kujua anataka kuwawakilisha watu wa jimbo
gani? kwa nini watu wa jimbo hili? na mengine mengi. Yote yatakuwepo kupitia
blog yako www.mainkampasi.blogspot.com
Mainikampasi
itakupa taarifa zote za wahadhili na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini ambao
wametia nia na ambao wamekwisha chukua fomu na kuendelea na mchakato mzima wa kura za maoni mpaka
kinyang’anyiro cha jimbo husika.
No comments:
Post a Comment