KONA YA UTAFITI
Karibu katika kona ya
utafiti
Hapa utakutana na mengi
sana yaliyofanyiwa utafiti wa kina na wanasayansi mbali mbali kutoka katika
sayari hii ya tatu tuliyopo na wakagundua mengi sana, hivyo basi kila siku
ntakuwa pamoja nawe kukufahamisha lile ambalo kwako litakuwa na faida kubwa
katika kuongeza maarifa yako uliyonayo ili uweze kuongeza wigo wa kutafakari
mambo kwa kina na kwa ueledi wote ulionao
Usikose kufungua blog
hii kila siku iitwayoleo ili usije ukapitwa na mengi ambayo tutaendelea kufahamishana
kuhusiana na mambo mbali mbali yaliyothibitishwa kisayansi yanayojiri katika karne hii ya kidigitali
Hii ni burudani nzuri ya ubungo wako.
je wajua zaidi kuhusiana na ubongo wako ni kwa namna gani unachukua nafasi katika mwili wako na ili ufanye kazi kwa kuzingatia vigezo vya mwili unaitaji hewa gani na kwa kiasi gani..........?!kutokana na tafiti za kina majibu n kama yanavyoonekana hapa chini
No comments:
Post a Comment