Moja ya kivutio kikubwa katika miundombinu hiyo ni namna vyumba vya masomo vilivyo katika ubora wa hali ya juu kiasi kwamba Waadhiri wanaweza kutoa masomo kwa nji a ya kisasa ya Projector bila kuzibeba mikononi sababu tayari zisha fungwa katika kila darasa.
Pia kuna huduma ya uhakika ya umeme katika vyumba vya masomo na hivyo kuwa na uhakika wa kupata masomo kila inapohitajika kwa wanafunzi.
Kabla ya hapo Chuo cha Tumaini hakikuwa na hali nzuri kama ilivyo sasa karibu KARIBU TUMAINI KARIBU UPATE ELIMU BORA.
No comments:
Post a Comment