Kama ratiba haito badilika leo tarehe 9 Raisi atahutubia Bunge kwa mara ya mwisho na kuvunja rasmi bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na hivyo kufungua milango kwa watu kuanza kuomba ridhaa ya kuongoza katika maeneo yao katika ngazi ya ubunge.
Tutazidi kuwapa taarifa kadili tutakavozipata kutoka vyazo vyetu vya Habari.
Raisi Kikwete akiwa na Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda |
No comments:
Post a Comment