Serikali ya wanafunzi inasikitika kuwataarifu kifo cha mwanafunzi Eunice Mawala wa CERTIFICATE IN RECORD MANAGEMENT kilichotokea leo tarehe Machi 16,2016 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alikuwa anasumbuliwa na tatizo la moyo. Msiba upo Kimara Jijini Dar es Salaam.
Naomba tuungane na familia yake kwa kumwombea apumzike mahali pema peponi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe sasa na hata milele. Amina.
kwa taarifa zaidi tunaweza kuwasiliana kwa namba 0716 670298 na 0717 961245. kwa taarifa za mazishi tutajuzana pia.
No comments:
Post a Comment