Romelo Lukaku wa Everton akishangilia goli lake dhidi ya Stoke City leo mchana. |
>Southampton sasa imeenda mechi 8 bila ya clean sheet.
>Kwa mara ya 14 Tottenham wameshindwa kushinda mechi waliyoongoza kwa magoli mawili. (front 2-0)
>Tottenham wamefungwa penalti nyoingi zaidi toka mwanzo wa msimu uliopita(nane)
>Gomis Batefimbi sasa amefunga magoli 7 katika mechi 8 za Premier League zilizopita
>Newcastle wame[poteza mechi 7 mfululizo za ugenini, wakivunja rekodi yao wenyewe ya mwaka 1999
>Leicester Cirty wamefunga goli 11 katika mechi zao tatu za EPL zilizopita
>West Brom wameshindwa kupata shot on target kabisa katika mechi dhidi ya Watford, wakipata shots on target 2 tu kwenye mechi mbili zilizopita.
No comments:
Post a Comment