Pages

Sunday, July 12, 2015

RAMADHAN KAREEM

Zikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhani Team ya MAIN KAMPASI imepata bahati ya kufurishwa na wapenzi wa mainkampasi maeneo ya Mwenge mlalakuwa.

Shukrani za dhati sana kwa Halima Ngassa na Mariam Adams kwa mapenzi yenu kwetu, tunawapenda sana na asanteni sana.

 Busati lilipendeza ivooooo yani.

POST POWERED BY: Halima Ngassa and Mariam Adams



No comments:

Post a Comment