Pages

Monday, November 23, 2015

TANZIA



Kwa masikitiko makubwa tumeondokewa na mpendwa wetu Ernest Merchedes ambaye alikua anasomea shahada ya sheria mwaka wa tatu.
Mauti yalimkuta akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando Mwanza alikuwa anasumbuliwa na tatizo la mifupa. Tumwombee ili ndugu yetu apumzike kwa Amani.
Bwana Ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amina.

No comments:

Post a Comment