Pages

Wednesday, June 17, 2015

 VIONGOZI WA USCF KAZINI
Ushirika wa wanafunzi wa kikristo hapa chuoni wamepata viongozi wapya na leo walikuwa na kikao cha pamoja na viongozi wa staafu katika kukabidhiana madaraka.
Baadhi ya viongozi wakiwa katika kiko ndani ya chumba cha ibada room 301

No comments:

Post a Comment