Pages

Thursday, July 9, 2015

YALIOJILI BUNGENI DODOMA

Leo imekuwa siku ya mwisho kwa Rais wa awamu ya tano Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  kulihutubia Bunge la 10 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Baadhi ya Mambo aliyo yazungumzia ni pamoja na:
>UMOJA AMANI NA USALAMA
>HALI YA MUUNGANO
>UTAWALA BORA
>JESHI LA ULINZI NA USALAMA
>JESHI LA KUJENGA TAIFA
>MCHAKATO WA KATIBA PENDEKEZWA
>RUSHWA
>MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI
>HALI YA UCHUMI
>MPANGO MKAKATI WA MATOKEO MAKUBWA SASA
>MIUNDO MBINU 

Moja ya Tweet Ya Dkt Kikwete



Kama ulipitwa na yaliojili leo pale Dodoma tumeweka Link Rahisi kwako kupitia kila kilichojili tangia mwanzo mpaka mwisho wa Hotuba yake.

Raisakisistiza jambo alipokuwa akihutubia Bunge 
YALIOJILI BUNGENI 09/07/2015
Chanzo: JAMII FORUMS 

No comments:

Post a Comment